HATUPIMI BANDO

6 August 2012

Usisikitike sana ntaoa tena


Jamaa alifiwa na mkewe,baada ya maziko akamwona jamaa mwingine ambae hakuwa anamfahamu analia kwa uchungu sana, na hata kujigaragaza kwenye kaburi la marehemu. Akamuuliza jirani yake Juma ;
Mume: Aise Juma huyu ni nani mbona ana uchungu sana?
Juma: Huyo ndio alikuwa anakuibia mkeo. Mume akamuendea yule jamaa
Mume: Pole bwana usisikitike sana, ntaoa tena

No comments: