HATUPIMI BANDO

17 August 2012

Usimjibu polisi kihivi ohooo


Tafadhali ukiwa unaendesha gari ukasimamishwa  na polisi tafadhali jizuie usitumie majibu yafuatayo:
-       Hebu nishikie konyagi yangu nikutolee leseni
-       Nilitaka na mimi kuwa polisi nikaona huu ufala
-       Unajua mshahara wako unatoka kwangu mimi mlipa kodi?
-       Bosi wako mwenyewe tulisoma nae praimari alikuwa mjingamjinga
-       Umejuaje nimekunywa, au na wewe mdau?
-       Jela zimetengenezwa kwa ajili yetu

No comments: