PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Ushauri wa bure kwa wadada


Ushauri wa bure kwa mabinti;
1. Usimuuliza mupenzi swali ambalo jibu lake litakuuma. Usilulize maswali kama, ‘Hivi Amna alikuwa bibi yako? Au je, eti mi mnene?’ Si maswali muafaka
2. Kama jamaa anaangalia mpira kwenye TV, aidha umuunge mkono na wewe anza kuangalia mpira au nenda kalale, hakuna mbadala
3.  Kiukweli una nguo na viatu vya kutosha siyo kila style ikija unamwambia mupenzi akununulie
4.  Kama ukitaka jamaa asisahau birthday yako mkumbushe siyo unaanza lawama baadae eti kwanini hakukumbuka
-5. Ukiona mupenzi anaangalia wadada wengine ni jambo zuri, atajuaje kuwa wewe mzuri kuliko wao kama halinganishi?
6. Ahadi iliyotolewa miezi sita au saba iliyopita na kuendeleakama haijatimizwa elewa imeexpaya, usiikumbushe mkianza ugomvi
7. Kulialia hovyo inaboa kishenzi

Comments