PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Unataka dili la mamilioni kwa mtaji wa laki?

Je unataka kutengeneza milioni kumi kwa mtaji wa laki 4? Kwanza tafuta msichana atakaekubali hilo dili, tangazeni kwa ndugu na marafiki kuwa mnataka kuoana. Mpe binti laki mbili, kama pesa za kikao chao cha kwanza cha kutengeneza kamati ya Sendoff na wewe bakia na laki mbili za kikao cha kwanza cha kamati ya maandalizi ya harusi. Baada ya hapo ziachieni kamati zianze kuchangisha, hakikisheni kuwa wawekahazina wako nanyie na muwaahidi pasenti ya mgao. Ngojeni matokeo

Comments