HATUPIMI BANDO

6 August 2012

Unakula kama nguruwe


Mgeni kawatembelea Baba na Mama Chale. Baada ya maongezi chakula kikaletwa, wakaanza kula, ila Chale akabaki anamkodolea macho mgeni anavyokula. Mgeni akakosa raha akaamua kumuuliza mtoto,
Mgeni: We Chale, mbona unaniangalia hivyo kula huli?
Chale: Baba alisema huwa unakula kama nguruwe nasubiri uanze

No comments: