HATUPIMI BANDO

27 August 2012

UNA DAWA YA KWIKWI


Jamaa kaingia duka la dawa;
JAMAA: Una dawa ya kwikwi?
MFAMASIA:Ndio (kisha akamtandika jamaa kibao cha nguvu) Vipi kwikwi imeacha?
JAMAA: Nilikuja kuchukua dawa kwa ajili ya mke wangu
MFAMASIA: Dah samahani nilidhani we ndo una kwikwi nikushtue

No comments: