HATUPIMI BANDO

24 August 2012

Una chenji ya alfu ya kumi?

Nimeyasikia jana kwenye vyoo vya hoteli fulani;
CHUMBA1:Dah aise huku hakuna maji hakuna toilet paper
CHUMBA2:Hata huku aise, dah tumeumbuka
CHUMBA1: Huna huko gazeti au barua?
CHUMBA2: Sina kitu kabisa
CHUMBA!: Una chenji ya alfu kumi?

No comments: