HATUPIMI BANDO

8 August 2012

Ukipata nitumie kwa M-pesa


Maendeleo bwana leo pale Posta mpya nimekuta ombaomba mmoja nikachoka,
Ombaomba: Saidia masikini
Mimi:Samahani sina kitu saa hizi
Ombaomba: Basi chukua namba yangu ukipata utanitumia kwa M-pesa

No comments: