HATUPIMI BANDO

8 August 2012

Tembo na demu wake siafu


Tembo na siafu walikuwa wanapendana sana. Wazazi wa siafu walipokuja gundua wakaja juu na kumwambia binti yao lazima aachane na tembo kwanza sio kabila lao. Binti yao akawaambia kuwa hawezi kumuuacha tembo hata iweje , anampenda sana na hata hivyo ana mimba yake tayari.

No comments: