PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Sweety ninulie kiatu


Mdada na mkaka walikuwa wanapita madukani, si mdada akakiona kiatu kimoja kizuri, bei alfu stini.
MDADA: Mweee kiatu kizuri ningekuwa sijasahau hela nyumbani ningekinunua, ninunulie jamani
MKAKA:Chukua hii alfu tano, kodi taxi ukachukue hela yako sweety nakusubiri hapahapa

Comments