HATUPIMI BANDO

4 August 2012

Sitaki kuua mtu, sikupi senti tano


Devi kamkuta ombaomba njiani,
Devi: Utajisikiaje nikikupa milioni 2
Ombaomba: Ntakufa kwa furaha
Devi: Okay kwaheri sitaki kuuwa mtu mimi

No comments: