PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Simhukumu mbuzi kifo

MKE: Unajua wiki hii tunatimiza miaka 10 ya ndoa yetu, hebu mchinje huyo mbuzi ili tusherehekee
MUME: Sioni kabisa mantiki ya kumhukumu kifo mbuzi kwa kosa nililofanya mimi miaka kumi iliyopita

Comments