PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

RATIBA YA KUZEEKA


UZEE HUJA TARATIBU, KWANZA HUANZA KUSAHAU MAJINA, MPAKA MTU AKUKUMBUSHE SANA NA KWATAJA WATU WENGINE WALIOKUWEKO NDO UNAKUMBUKA, KISHA UNAANZA KUSAHAU SURA, HATA MWANAO UNAWEZA KUMSAHAU, UKIVUKA KIPINDI HIKI UNAJIKUTA MARA NYINGI UNASAHAU KUFUNGA ZIPU UKITOKA CHOONI, HILI SOMO HUWA KAMILI UNAPOANZA KUSAHAU KUFUNGUA ZIPU UKIENDA CHOONI NA WAKATI HUO NDUGU WOTE HUKUKIMBIA LABDA KAMA ULITENGENEZA PESA NYINGI WAKATI ULIKUWA KIJANA HIVYO WAPAMBE WANAKUWEKO KUNGOJA KUTAJWA KWENYE MIRATHI.

Comments