HATUPIMI BANDO

4 August 2012

OMBAOMBA

OMBAOMBA: Saidia masikini
JAMAA: Kwanini hutaki kujishughulisha?
OMBAOMBA: Pengine hujui, mi ndie niliyeandika kile kitabu mashuhuri kiitwacho'Njia 100 za kutajirika'
JAMAA: Sasa mbona umekuwa ombaomba
OMBAOMBA: Katika kitabu changu hii ni njia moja wapo ya kutajirika

No comments: