PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

NYUMBA YANGU INAUNGUA

Nyumba ya Kalulu ilishika moto, akapiga simu faya;
KALULU: Tafadhalini njooni nyumba yangu inaungua
FAYA: Nyumba yako iko wapi tuelekeze
KALULU: Jamani mi nimechanganyikiwa acheni maswali mengi nyie njooni plz
FAYA: Sasa  tutakujaje huko?
KALULU: Acheni ujinga si mje na gari lenu la zima moto

Comments