PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Nimeshinda kwenye mbio

Teja karudi kwa mkewe na Iphone mpyaaa,
MKE: He jamani umepata wapi simu nzuri na ya bei hiyo?
TEJA: Nimeshinda kwenye mashindano ya mbio
MKE: Mashindano ya mbio gani hayo?
TEJA: Mbio kati ya mimi, polisi na mwenye simu

Comments