HATUPIMI BANDO

8 August 2012

Nimepandishwa mshahara


Jamaa kaongezwa mshahara kazini kwake, akaona aandike habari hiyo nzuri kwenye Facebook,  'Namshukuru Mungu kwa kukubali maombi yangu, nimepandishwa mshahara, Mungu ni mkubwa Haleluya'. Baada ya muda mfupi baba mwenye nyumba wake na nyumba-ndogo yake waka "Like" Status hiyo

No comments: