HATUPIMI BANDO

22 August 2012

Nikichelewa ntakuta bagia zimeisha

Mtoto ambaye kwa kawaida ni mvivu kuamka kwenda shule, siku hiyo akaonekana alfajiri analilia kwenda shule;
BABA: We vipi leo mbona unawahi namna hii kwenda shule?
DOGO: Mwalimu anaeuza bagia leo anakuja asubuhi, nikichelewa nitakuta bagia zimeisha

No comments: