HATUPIMI BANDO

27 August 2012

NAMTAFUTA MHASIBU

BOSI: Namtafuta mhasibu
BOSI 2: Si uliajiri Mhasibu hata miezi miwili iliyopita
BOSI: Haswa, ndie huyo ninaemtafuta

No comments: