PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Najua kwanini tumbo lako limevimba


Dogo alikuwa na tabia ya kunyonya kidole, mamake akaona amtishe mwanawe ili aache tabia ya kunyonya kidole;
Mama: We shauri zako ukiendelea kunyonya kidole tumbo litavimba ohooo..... Bahati mbaya rafiki wa mama ambaye alikuwa mjamzito akawatembelea siku hiyo hiyo, Dogo akawa anamuangalia yule mama kwa muda mrefu huku anacheka,  mpaka mama wa watu akaona aulize
Mama 2: Hee Dogo mbona unaniangalia hivyo?
Dogo: Mama kanambia  ulikuwa unafanya nini mpaka tumbo likavimba. MAMA WA WATU AKAONDOKA BILA KUAGA.

Comments