PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

NAFA

Mume alikuwa baa anakunywa, akamtext mkewe,' Vipi wife habari za saa hizi'. Mke akajibu 'Nafa'. Mume akashuka kwenye kiti cha bar na kuanza kucheza kiduku kwa furaha, akaagiza mzinga mzima wa konyagi, na kutoa ofa kwa jamaa hata hawajui. Dakika mbili baadae ikaingia text, 'Samahani nimetuma txt kabla sijamalizia kuandika, NAFAnya usafi huku chumbani kwetu'

Comments