PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

MY HONEY

Jamaa aliazima simu ya rafiki yake apige simu fulani baada ya simu yake kuishiwa credit. Katika umbeya wake akakuta jina MY HONEY, ambalo lilikuwa na text nyingi za mapenzi. haraka akaiba ile namba, baada ya kurudisha simu akaanza kuchat na MY HONEY wa rafiki yake. Ni wiki ya tatu sasa anamtextia dada yake mesej za mapenzi

Comments