PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Mwezi uleee na mwingine uleee

Mlevi kakuta kundi la watu wanaangalia juu kwenye mawingu;
MLEVI: Oyaa mnaangalia nini?
MKAKA: Tunaangalia mwezi tukiuona kesho itakuwa Idd. Na mlevi nae akaanza kuangalia juu, bahati nzuri akawa wa kwanza kuuona.
MLEVI: Ule paleeee. Ikawa furahaa jamaa mmoja akaamua kumpa mlevi zawadi ya shilingi alfu kumi. Mlevi si akaona kumbe kuona mwezi dili. Akaangalia juu tena
MLEVI: Mzee, mzee na mwingine ule paleee.......... hapo ndipo alipoambulia makofi

Comments