HATUPIMI BANDO

18 August 2012

Mumeo anakunywa Konyagi?

Sikukuu ndo hiyo wadada wamejazana saluni wanapambwa, ila mmoja katoa kali;
MDADA: Unadhani ulivyonipamba mume wangu ataniona mzuri?
MPAMBAJI: Inategemea,vipi  huwa anakunywa konyagi?

No comments: