HATUPIMI BANDO

1 August 2012

Mtoto alipochungulia Kanga Moja......

Mtoto katoroka kwao kenda kwenye baa jirani kuwachungulia Kanga Moja wakiwa kazini, aliporudi mama yake akaja juu;
MAMA: Mtoto gani we husikii, kila kitu unachungulia utakuja kuona vitu usivyotaliwa kuona
MTOTO: Kweli mama nimemuona baba alikuwa anacheza nao

No comments: