HATUPIMI BANDO

1 August 2012

Msanii wa Kaole adai kalogwa

Kama ulidhani ushirikina umepotea futa wazo hilo hebu sikia hii ya leo leo......MSANII wa siku nyingi wa Kundi la sanaa la maonesho la Kaole, Tausi Chuwa ‘Nana’ ameibuka hivi karibuni na kudai kuwa, amefanyiwa mambo ya kilozi na watu wanaotaka kumdhurumu nyumba yake.........Hebu fuatilia mkasa mzima HAPA

No comments: