PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Mbuzi wa Padri

Jamaa kaenda kwa padri akionekana ana majonzi makubwa;
PADRI: Vipi ndugu yangu?
JAMAA: Familia yangu ina njaa, nimemuibia mtu mbuzi yuko hapo nje, naomba tafadhali umchukue
PADRI: Aaa wapi, wewe mrudishie mwenye mbuzi
JAMAA: Mwenye mbuzi kamkataa
PADRI: Basi kama hivyo huyo halali yako kalishe familia yako
JAMAA:Jamaa akaondoka kwa furaha na mbuzi wake
Padri aliporudi kwake akakuta kaibiwa mbuzi.

Comments