HATUPIMI BANDO

27 August 2012

MASWALI MAHAKAMANI

MWANASHERIA: Umeolewa?
MDADA: Hapana niliachika siku nyingi
MWANASHERIA: Je unaweza kuieleza mahakama mumeo alikuwa akifanya shughuli gani kabla hajakuacha?
MDADA: Alikuwa anafanya shughuli nyingi tu


MWANAHERIA: Unasema mlalamikaji ni binti yako sio?
MSHAKIWA: Ndio ni binti yangu
MWANASHERIA: Je, tarehe 2 Juni 2011 alikuwa binti yako bado?

No comments: