PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Mapolisi ndio wamenileta

HAKIMU: Mshtakiwa hii si mara ya kwanza nakuona katika korti hii
MSHTAKIWA: Ndio mzee
HAKIMU: Nakumbuka mara ya mwisho nilikwambia sitaki kukuona tena katika mahakama hii
MSHTAKIWA: Ndio mzee, hata mimi nilijaribu kuwambia hawa mapolisi wasinilete, wao wameng'ang'ania lazima nije

Comments