HATUPIMI BANDO

6 August 2012

Mafuta ya Kichina hayo badili


Mzee mmoja ya miaka 80 alioa kabinti ka miaka 21. Baada ya mwaka binti akajifungua mtoto wa kwanza, mzee akawa anapita na kujitangaza kuwa yeye  sasa awe anaitwa Mashine-kubwa. Baada ya miaka miwili binti akajifungua tena mtoto mwingine, kabla hata hajamuona mtoto akapita mitaani tena akijisifu tena,
MZEE: Nyie wajingawajinga mnaona kazi ya Mashine-kubwa?   
 Alipofika hospitali akamkuta nesi,

Mzee: Nesi mashine kubwa nimefika wapi mali zangu?

Nesi: Mzee mashine yako inatumia mafuta ya Kichina?

Mzee: Kwanini unaniuliza?

Mzee: Badilisha mafuta maana safari hii kazaliwa Mchina

No comments: