PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Mabibi na mabwana mimi nahodha wenu naongea.....


‘Mabibi na mabwana  naongea hapa ni nahodha wako naitwa J wa Kei, tunaruka futi 11,000 toka usawa wa bahari, tunategemea kuingia Dar es  salaam saa 12 jioni. Tafadhali kwa sasa unaweza kufungua mikanda yako ya usalama na unaruhusiwa kuzunguka zunguka ndani ya ndege, pia siwashauri kutoka nje kwani ni baridi sana na pia kwa wale ambao hupenda kutoka nje kukaa juu ya mabawa tungewashauri msijae sana kwenye bawa moja kwani ndege inaweza kupoteza muelekeo.Aksante sana nawatakia safari njema’

Comments