HATUPIMI BANDO

9 August 2012

Loh nimeharibikiwa................dah


Mwandishi alikwenda kumuhoji dereva moja mzee akiyekwisha staafu;
MWANDISHI: Mzee unaweza kuniambia siku ambayo ulipata jambo la kutisha kuliko yote katika maisha yako ya udereva?
DEREVA: Ndio, kuna siku nilikuwa na teremka milima wa Kitonga, ghafla gari likaanza kupamba moto, kuminya breki zikakataa, nikampigia kelele utingo aruke aweke kigogo, kumbe nae amekwisha ruka zamani, chini kukawa na gari linapanda mlima ikawa wazi nipeleke gari pembeni bondeni AAAAAAAAAAAA dah nimejiharishia
MWANDISHI: Ni kweli Mzee katika hali hiyo mtu yoyote angaharibikiwa.
DEREVA: Mwenzio nimekumbuka hiyo siku ilivyokuwa inatisha nimejiharishia sasa hivi ndugu mwandishi dah…

No comments: