PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

KWETU NINA KIJIKO KIMOJA TU

DOKTA: Sasa bwana chukua dawa hii, italazimika uwe unakunywa vijiko viwili vya chai kutwa mara tatu
WEWE: Dokta hilo litakuwa tatizo kidogo
DOKTA : Kwanini tena?
WEWE: Kwetu nina kijiko kimoja tu

Comments