HATUPIMI BANDO

19 August 2012

Kwa wengine Idd ya leo ngumu

NYUMBA NYINGINE NGUMU JAMANI;
MUME: Vipi mama ataenda muziki leo?
HAUZGELO: Naona ataenda maana amesema nimtayarishie suruali yake nyeusi na kitop chekundu
MUME: Vipi kasema ataenda na mimi?
HAUZGELO: Hajanambia

No comments: