PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Kwa sasa mke yuko ICU


Jamaa kaamka asubuhi sana Jumamosi, mvua kubwa ikawa inanyesha, pamoja na mkewe kumsihi abaki kitandani yeye akang'ang'ania kuwa anaenda ofisini. Akajitayarisha akatoka nje akamwacha mkewe keshapitiwa na usingizi. Lakini kufika njiani hali ilikuwa mbaya sana, madimbwi, miti imeanguka, akaamua kurudi mwenyewe. Kafika home kavua nguo kaingia tena kitandani, kamnong'oneza mkewe aliyekuwa usingizini;
MUME: Yaani hali ya hewa mbaya sana huko nje ni balaa tupu
MKE: (akiwa bado usingizini) Si ndio nimemshangaa huyu mpumbavu eti katoka hapa kaenda kazini.........KWA SASA MKE YUKO HOSPITALI

Comments