PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Kuna msiba wa Singasinga leo


Singasinga alikuwa fundi seremala mzuri sana, akaajiri kijana mpya wa kazi, akamwita amsaidie kupigilia msumari kwenye ubao;
SINGA: Hanee ve senzi leta jundo. Kijana akaleta nyundo;
SINGA: Sasa anglia mi nasikilia sumari hapa, vee chukua jundo kama mi natikisa kichwa vee piga juu yake nasikia?
JAMAA: Nimesikia
SINGA: Haya piga, kisha Singa akatikisa kichwa....... Kuna msiba wa Singa singa leo

Comments