HATUPIMI BANDO

27 August 2012

KANINYANG'ANYA BENZI NILILOIBA

Wiki moja baada ya kushinda kesi ya wizi wa Benz la kisasa bwana Mikasa alikuwa mahakamani tena;
MIKASA: Mheshimiwa hakimu namshtaki mwanasheria wangu kwa dhuluma
HAKIMU: Nini tena si mmeshinda kesi wiki iliyopita?
MIKASA: Ndio mheshimiwa, nimekuja hapa tena maana  baada ya mwanasheria wangu kusikia sina hela ya kumlipa kaninyang'anya Benzi langu nililoiba

No comments: