PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Jaribu mashine ya ATM


Jamaa kajiunga na GYM iliyokuwa na mashine kadhaa za mazoezi, na hapo ndani kukawa na mdada ambaye jamaa alitokea kumpenda sana, akawa mara ahamie mashine hii mara ile ili mdada amuone mkali, lakini yote ikawa bure. Hatimae akamuendea mwalimu wa GYM na kumuuliza;
Jamaa: Aise mashine gani nikitumia huyu mdada atanizimia?
Mwalimu: Hebu jaribu mashine ya ATM hapo nje ya GYM, lazima atakuona we mkali.

Comments