HATUPIMI BANDO

6 August 2012

Jamani liko wapi vumbi langu?


Ofisi moja ambayo ilikuwa chafu kila siku ikiwa imejaa vumbi , ilipata mfagizi mpya. Bosi alipoingia ofisini kwake akakuta meza yake ikiwa safi sana, akamjia juu mfagizi,’Wapi vumbi la meza yangu? Nilikuwa nimeandika namba muhimu ya simu hapa jamani’

No comments: