HATUPIMI BANDO

16 August 2012

Hiyo itakuwa fresh sana


Jamaa kaingia kwenye duka la miwani;
Jamaa: Samahani jamani mi sioni vizuri, hivi nikipata miwani ntaweza kusoma?
Mtaalamu: Bila tatizo tutakupima na kukupa miwani utasoma kila kitu bila tabu yoyote
jamaa: Aise hiyo itakuwa freshi sana maana mi sijui kusoma

No comments: