PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

HE TUMEKWISHA FIKA MOMBASA?

Jamaa alikuwa anasafiri kwa basi akiwa na kasuku wake aliyekuwa kamfungia kwenye boksi wakiwa safarini kuelekea Mombasa. Mazungumzo yalikuwa mengi katika basi lakini moja wapo ambalo kasuku alisikia ni kuwa Mombasa ukizubaa watu wanakushika makalio. Baada ya safari ya muda mrefu, mwenye kasuku akawa na wasi wasi wa ukimya wa kasuku wake, hivyo akaingiza mkono katika boksi ili amcheki kasuku wake, bahati mbaya akamshika kasuku sehemu za nyuma, kasuku akashtuka akaruka;
KASUKU: He mara hii tumekwisha fika Mombasa?

Comments