PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Haya sasa nenda kaflash

Mzee mmoja bahili aliyekuwa anafuatilia matumizi ya kila kitu nyumbani kwake, alikuwa na taratibu ya kuiita famili yake kila siku usiku kabla ya kulala kisha anaanza kumuuliza mmoja mmoja;
MZEE: Mke wangu umeshashusha?
MKE: Ndiyo
MZEE: Dogo umeshashusha?
DOGO: Ndio
MZEE: Gulo umeshashusha?
GULO: Ndio
MZEE: Mlinzi umeshashusha?
MLINZI: Ndio
MZEE: Haya sasa mlinzi nenda ukaflash choo.

Comments