HATUPIMI BANDO

25 August 2012

HATA MIMI SIJUI WAPO WATANZANIA WANGAPI

Mzee mmoja alikuwa kakaa nje ya nyumba yake kijana mmoja akamkaribia huku mkononi kashika kalamu na kinote book.
MZEE: Vipi unauza nini?
KIJANA: Siuzi kitu, tuko kwenye zoezi la kujua kuna Watanzania wangapi
MZEE: Hapo itakuwa ngumu kwangu kukusaidia maana hata mimi sijui wako Watanzania wangapi

No comments: