PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

HATA KWETU WAPO

-Wanaokwenda dukani kuulizia bluetooth-HATA KWETU WAPO
-Wanaonunua chockstick na kuweka kwenye mfuko wakatoe zawadi kijijini-HATA KWETU WAKO
-Wanaoamkia wazee wanaowaona kwenye TV- HATA KWETU WAPO
-Wanaopigia magoti ATM na kushukuru-HATA KWETU WAPO
- Wanaoweka nguo kwenye friji_ HATA KWETU WAKO
- Wanaochemsha nazi wakidhani maboga-HATA KWETU WAKO

Comments