PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Happy Birthday TUYU

MKE: Hapo jirani kuna nini mbona kuna kelele?
MUME FALA: Kuna birthday ya TUYU
MKE: TUYU ndo nini?
MUME FALA: Nadhani atakuwa mwenye birthday, maana nawawasikia wanamuimbia eti Happy Birthday TUYU

Comments