HATUPIMI BANDO

4 August 2012

Hapa ni Ubungo


Watani zangu waliokuwa wanaingia kwa mara ya kwanza jiji la Dar es Salaam walikuwa wanabishana namna ya kutamka jina hilo, mmoja akasema Darislamu mwingine akisema Daslam. Waliposhuka tu kwenye basi wakamwona jamaa mmoja baada ya salamu wakamwambia 'Bwanawewe si tunu ubishi, hebu sema wewe polipoli hapa panaitwa wapii?' Jamaa akawaambia, 'Hapa panaitwa UUUU BUUUU NGOOO'

No comments: