PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

FUNDI ANA WATOTO WAWILI

Wiki mbili kabla ya Iddi, MTANGANYIKA kaenda na kitambaa kwa fundi ili amshonee suti, fundi kacheki kitambaa akamwambia jamaa kitambaa hakitoshi kwa suti. MTANGANYIKA kaondoka na kwenda kwa fundi mwingine, ambae baada ya kuangalia kitambaa kamwambia aje siku mbili kabla ya Idd kuchukua nguo yake. Siku MTANGANYIKA alipofika kwa fundi akapewa suti yake nzuri, lakini akagundua mtoto wa fundi nae kavaa suti ya kitambaa kama chake.
MTANGANYIKA:Kwanini yule mwenzio alisema kitambaa hakitoshi?
FUNDI: Yule ana watoto wawili

Comments