PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Dokta plz nikate mikono


MGONJWA:Dokta kuna ndoto inanijia kila usiku naomba msaada wako
DOKTA: Unaota nini?
MGONJWA: Dokta naona mademu masupasta wote wa bongo  wanapigania kunibaka,mi napigana nao nawatandika ngumi mpaka wanakimbia wote
DOKTA: Sasa watakaje ndugu yangu
MGONJWA: Dokta tafadhali nikate hii mikono

Comments