PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

Dokta naumwa ugonjwa wa kuiba

MWANAWANI: Dokta nina tatizo kubwa, yaani nina tabia ya wizi, nimejitahidi nashindwa kuacha
DOKTA: Kunywa hivi vidonge baada ya wiki utapona
MWANAWANI: Dokta nisipopona itakuwaje?
DOKTA: Usipopona basi ugonjwa wako ukikushika niletee samsung flat screen ya saiz ya kati

Comments