HATUPIMI BANDO

4 August 2012

Dah wale ndio wazazi...


Siku ya kufunga shule mzazi mmoja kaenda na mwanae shule, sherehe zikaanza wanafunzi wakawa wanapewa vyeti na zawadi kadri ya ubora wa mambo yao, mtoto wa jamaa yetu hakutajwa hata jina.
Baba: Wale ndio watoto mbona Mungu kaninyima? Shughuli zikaisha mzazi na mwanawe wakaondoka na kuelekea kituo cha basi kuwahi basi la kwenda kwao. Wakati huo huo wazazi kadhaa wenye magari wakawa wamekuja kuwachukua watoto wao;
Mtoto: Dah wale ndio wazazi mbona Mungu kaninyima

No comments: